iqna

IQNA

wiki ya umoja wa kiislamu
Umoja wa Waislamu
TEHRAN (IQNA) – Mufti wa zamani wa Tanzania alisisitiza haja ya Waislamu kuimarisha umoja wao ili kuweza kukabiliana na kuzima njama na njama za adui.
Habari ID: 3477692    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/06

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, baada ya madola ya kiistikbari na kibeberu kuhisi hatari kutokana na kuenea nguvu za mafundisho ya Qur'ani Tukufu, yameamua kuendesha kampeni za kukivunjia heshima Kitabu hicho Kitakatifu cha Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3477686    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/03

Wiki ya Umoja wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu amekaribisha kuanzishwa tena kwa uhusiano wa kidiplomasia kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Saudi Arabia kama maendeleo muhimu ya ushirikiano na urafiki kati ya nchi zote za Kiislamu.
Habari ID: 3477678    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/01

Wiki ya Umoja wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, chaguo la kusalimu amri na kufanya mapatano kiudhalili halipo tena mezani na kwamba wale wanaoweka uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni ni kujitumbukiza kizazi.
Habari ID: 3477677    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/01

Wiki ya Umoja wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kongamano la 37 la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu limeanza leo jijini Tehran kwa hotuba ya Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3477676    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/01

Wiki ya Umoja wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Profesa wa chuo kikuu kutoka Syria amesema kizazi cha vijana katika ulimwengu wa Kiislamu kinakabiliwa na mtanziko wa kiutamaduni na ili kukabiliana na suala hili, kuimarisha ushirikiano na mshikamano katika ulimwengu wa Kiislamu ni muhimu.
Habari ID: 3477673    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/30

Wiki ya Umoja wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Mkuu wa Jumuiya ya Wanazuoni wa Iraq amesema, kuandaliwa kongamano la umoja wa Kiislamu kunaonyesha umakini wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3475918    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/12

Rais wa Iran
TEHRAN (IQNA) - Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumzia uwezo wa Umma wa Kiislamu katika ulimwengu wa sasa na kueleza kwamba, bendera iliyoinuliwa juu na Imamu Ruhullah Khomeini (RA) ni bendera ya umoja baina ya Waislamu kote duniani.
Habari ID: 3475916    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/12

Wiki ya Umoja wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Mwanazuoni mwandamizi wa Lebanon ameutaja umoja kati ya Waislamu kama msingi imara zaidi wa kulinda Uislamu kutokana na vitisho vilivyopo.
Habari ID: 3475911    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/11

Wiki ya Umoja wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Mkutano wa 36 wa kimataifa wa Umoja wa Kiislamu unatarajiwa kufanyika wiki ijayo hapa jijini Tehran kwa kuhudhuriwa na makumi ya shakhsia wa kidini wa ndani na nje ya nchi kwa mnasaba wa maadhimisho ya Wiki ya Umoja.
Habari ID: 3475907    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/10

Umoja wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kongamano la 36 la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu litafanyika mjini Tehran kuanzia tarehe 17 hadi 22 Oktoba kwa kuhudhuriwa na wasomi na wanafikra kutoka sehemu mbalimbali za dunia.
Habari ID: 3475898    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/08

Msomi wa Algeria
TEHRAN (IQNA) – Msomi na mwanafikra wa Qur’ani wa Algeria anasema umoja baina ya nchi za Kiislamu ni jambo la lazima na unapaswa kufikiwa katika nyanja tofauti.
Habari ID: 3475409    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/22

TEHRAN (IQNA)- Msomi mmpja wa Pakistan ameipongeza Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kuandaa kila mwaka kongamano la kimataifa la umoja wa Kiislamu na kusema hatua hiyo ni huduma kubwa wa Waislamu duniani.
Habari ID: 3474450    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/21

TEHRAN (IQNA) –Kongamano la 35 la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu limepengwa kufanyika mwezi Oktoba kwa njia ya intaneti.
Habari ID: 3474240    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/30

TEHRAN (IQNA) – Waislamu katika mji mkuu wa Sweden, Stockholm wameshiriki katika maadhimisho ya kukumbuka siku ya kuzaliwa (Maulid) Mtume Muhammad SAW na pia uzawa wa mjukuu wake, Imam Jaafar Swadiq AS.
Habari ID: 3473322    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/02

Mwanazuoni wa Lebanon
TEHRAN (IQNA) – Mwanazuoni wa ngazi za juu nchini Lebanon amesema umoja wa Waisalu ni sera bora zaidi katika kukabiliana na maadui wanaouhujumu Uislamu na kuvunjia heshima matukufu yake.
Habari ID: 3473320    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/02

Wiki ya Umoja wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Mkutano wa 34 wa kimataifa wa Umoja wa Kiislamu umeanza kufanyika mjini Tehran ukihudhuriwa na shakhsia 167 wa ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3473310    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/30

TEHRAN (IQNA) - Mkutano wa 34 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu unatazamiwa kuanza Alhamisi kwa njia ya intaneti ambapo mada kuu itakuwa 'Ushirikiano wa Kiislamu Wakati wa Maafa na Majanga'.
Habari ID: 3473300    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/27

TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu amesema Mkutano wa 34 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu utafanyika kwa njia ya intaneti na kujadili ushirikiano wakati wa maafa kuanzia Oktoba 29 hadi Novemba 3 kwa mnasaba wa Maulid ya Mtume Muhammad SAW na Wiki ya Umoja wa Kiislamu.
Habari ID: 3473231    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/04

Kwa mnasaba wa Maulidi ya Bwana Mtume Muhammad SAW
TEHRAN (IQNA) – Mkutano wa 34 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu utafanyika Novemba 11-13 katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Tehran.
Habari ID: 3473178    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/17